Wanaume wanapambana mno kuhudumia familia zao ni vile wanakosa kwasababu tu hawana connections na hawawezi kutoa utu wao kujidhalilisha kupita kiasi ili wapate kitu na kwa ushujaa zaidi hata wakikosa hawabaki wanyonge kutia huruma ....Tuwape moyo wasichoke