God has been kind and merciful to me in all these years. Today, I thank him for adding another year to my life. Praying for my life to be showered by happiness in abundance! HAPPY BORN TO Me๐๐๐๐๐
Niwape story nyingine ya Nabii AYUBU? ๐
Ukisoma Biblia AYUBU 1:1, Biblia inasema Ayubu alikuwa mkamilifu na mnyoofu. ๐
Unajua kuwa mnyoofu wewe! Mungu alikuwa proud naye sana. Lakini kulikuwa wanoko ๐ wakasema, Mungu huyu unamuona yuko hivyo kwa sababu umempa kila kitu.
Chukua hivyo vitu vyake uone kama bado atakuwa mwaminifu kama unavyosema, Mungu akaona isiwe kesi ngoja tuone
Ghafla utajiri ukaondoka, mali zikapotea, watoto wakafa, na Ayubu akapata maradhi makali ya mwili.
Halafu wale wale Ma snitch wakaanza kusema, Hapana, lazima huyu kuna dhambi kubwa amefanya, Lakini pamoja na yote hayo, Ayubu aliendelea kushikilia imani yake.
Ndipo katika AYUBU 1:21 tunapata maneno haya
โBwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana libarikiwe.โ ๐๐พ
Guess what ๐ Baada ya kipindi chote cha mateso na maumivu, Mungu alimrudishia Ayubu kila kitu, tena zaidi ya alichokuwa nacho mwanzo. Hapo ni AYUBU 42:10.
Wakati mwingine hali ngumu tunazopitia kwenye maisha yetu si kwa sababu tunastahili, hapana. Wakati mwingine ni kwa ajili ya kutujenga, kutufundisha, na kutuandaa kwa kile kinachokuja mbele yetu.
Usikate tamaa katikati ya story yako. Mungu bado hajaandika mwisho wake. โบ๏ธ
Nisikie Amen kutoka huku nyuma.
Watoto wapo Likizo, wengine wametoka Boarding, huna uhakika na Lishe wamepata karibu miezi 3-6.
Muda ni sasa wewe kama mzazi kucheza part yako, mpira upo kwenye court yake.
Nami nitakusaidia kusambaza Lishe babu Kubwa.