@jackachiro@_GeorgesR@Yahyamohas254@KevinKip44 Hatuendi debe, juu tunaeza shindwa. Tunaenda debe juu ikulu haina mfalme. Tunapeleka mfalme ikulu. Power lies where men believe it is. Tunaamini HE the 6th 2027.
@ComanderJeremy@Kimuzi_ Hakuna mtu anasulubishana. Tunatoa maoni kama raia tu vile yeye ako na maoni yake. Haki ya kidemokrasia ya kupigia unayependa kukuongoza kura na uhuru wa kujieleza ndio tunatumia. Babu asimame wananairobi wataamua kama anafaa au hafai. Msiweke maoni kwa roho.
@_GeorgesR@Yahyamohas254@jackachiro@KevinKip44 Baas lakini naomba wanafunzi wa kiganjo wasikutoe eyes before you see juu ni madwanzi hawajui wanatam au tutam. wanajua tu kuua,kuumiza na kufyatua.
@_GeorgesR@jackachiro@Yahyamohas254@KevinKip44 Hii injili apana iko uku, heri tuanguke kwa debe than kuamini mnaeza tupea joto na roho zenyu jokofu. So akiwania urais balaa lakini seneta mko sawa ati ajibize hio nguruwe yenu jalas. Ata uoga hainuki kishenzi hivi.
@Yahyamohas254@_GeorgesR@jackachiro@KevinKip44 Hiyo ni usito wataskizia kwa debe ndio heshima idumu. Tunaenda na speed yao juu wanatumia wheelbarrow na uku speed ni za F1, yaani wantam speeds.
@_GeorgesR@jackachiro@Yahyamohas254@KevinKip44 Tukiweka rais wote ndani utakubali maovu yao yalikua na madhara au utaanza tena kuhesabu wafu wenye hawaezi jitetea. Ujue wenye wako hai ni wawili na mwizi wa leo ndio unaeza shika, wa jana labda utoe nakala za historia zenye zinaweza mweka kwa hatia. So must go must jail.Wantam
@AbuyaHill@simiyu_js@SIFCCOM Hakuna mtu anataka babu akae mahali ataki,hapo ndio ingekua udikteta,yeye ndio ako na mafans wanataka arudi ODM au sijui akue mumbai pati lida. Babu ndio anajua anataka nn na mafans wa HE wanajua wanataa nani.
@_GeorgesR@jackachiro@Yahyamohas254@KevinKip44 Hatutaki mwanzilishi wala mwendelezi tunataka mwenye ataimaliza juu is not a thing to be proud of. Kama unataka mwanzilishi rudi miaka ya jana uulize mbona walikubali ianze.