@abbiezuena Huyo mama hajawahitaka Sifuna. Wachana na yeye. She's part of those wa 150m. They've tried,in so many ways to tarnish Sifuna's name all in vein. Utasikia tena wanasema asiende kwa Wamunyoro,and all that. As if Sifuna akiwa pekee atashinda. Hii yote ni game plan ya Kasongo.