Kituo cha Visit Karatu kimezindua ushirikiano wa kihistoria na klabu ya soka ya FC Bavois ya Uswisi unaolenga kukuza michezo, utalii, na maendeleo ya jamiii ambapo ushirikiano huo utajikita katika masuala mbalimbali kama maendeleo ya vijana na kuimarisha uhusiano wa kitamaduni baina ya Tanzania na Uswisi.
Ushirikiano huo umezinduliwa Julai 26, 2026 huko Lilac Oasis, Karatu nembo ya Visit Karatu itaonekana kwenye mkono wa kushoto wa jezi rasmi za klabu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu, Uswizi na mgongoni mwa jezi rasmi za mazoezi ya kabla ya mechi za klabu hiyo.
Klabu ya Bavois ambayo kocha wake msaidizi ni kiungo wa zamani wa Simba SC, na timu ya Taifa ya Tanzania, Renatus Boniface Njohole (@Renatusnjohole ) ipo Tanzania ambapo ilianza ziara yake kuanzia Januari 23 hadi Januari 30, 2026.
#KitengeUpdates
Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, amelaani vikali mauaji ya kikatili ya Mtumishi wa Afya, Asha Abdalah Bakari (25), aliyekuwa Afisa Muuguzi wa kujitolea katika Hospitali ya Mji Same tangu Novemba 2025, aliyeuawa kwa kuchomwa kisu shingoni karibu na makazi yake yaliyopo jirani na Hospitali hiyo.
Akizungumza kwa masikitiko makubwa mara baada ya kutembelea Hospitali hiyo, Kasilda amesema tukio hilo halikubaliki kabisa katika Jamii na linapaswa kukemewa na kulaaniwa kwa nguvu zote.
Aidha, ameeleza kuwa kufuatia tukio hilo, tayari Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinaendelea na msako mkali wa kumtafuta Mtuhumiwa ambaye baada ya kutekeleza tukio hilo alitorokea kusikojulikana, huku akibainisha kuwa mtuhumiwa huyo tayari ametambuliwa na juhudi za kumkamata zinaendelea.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, chanzo cha mauaji hayo kinatajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi, ambapo inadaiwa Mtuhumiwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na marehemu na hata alimsaidia katika masuala ya ada wakati alipokuwa masomoni, lakini baadaye marehemu alipoanza kazi ya kujitolea Hospitalini hapo alianzisha mahusiano mengine na Mfanyakazi mwenzake jambo lililodaiwa kumchochea Mtuhumiwa kufanya tukio hilo la kikatili.
Pamoja na hayo, Kasilda ametoa onyo kali kwa Wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi, akisisitiza kuwa kila Mtu anapaswa kufuata taratibu za kisheria katika kutatua migogoro.
#MillardAyoUPDATES.
🚨🇮🇷🇺🇸 BREAKING: Iran advises the Middle East employees of the following companies to IMMEDIATELY LEAVE their workplaces to preserve their lives.
These companies companies should expect the destruction of their assets from 8PM Tehran time on Wednesday, April 1, for every assassination in Iran.
They are announced as follows:
1. Cisco
2. HP
3. Intel
4. Oracle
5. Microsoft
6. Apple
7. Google
8. Meta
9. IBM
10. Dell
11. Planter
12. Nvidia
13. J.P. Morgan
14. Tesla
15. GE
16. Spire Solutions
17. G42
18. Boeing