Masud Juma, kingpin wa Eastern, mchezaji wa kwanza kutoka kasanya kuchezea Harambee. Kwa bidii yake aliweza kuchezea kadanda kote ulimwengu alikotaka.
Jimbo hili wana vijana wenye talenti, ni viongozi tu waje pamoja na wawe radhi kusaidia vijana kama hawa.
To continued...
Nuno gomez, mzaliwa wa b.pesa kijana aliyecheza sakata na kweli alisakata wachezaji wapinzani na kutambulika Kote nchini. Lakini kwa kukosa support hakuenda kuchezea kpl. Hizi ni vipawa zilipotea kama upepo.
Vijana wa Isiolo leo siku yenu...
Vijana wana talent, sio kucheza mziki wala gitaa vile vile dimba na wanasoka wapo wengi hata dini wameshikilia mistari wa mbele lakini...
Vijana wa Isiolo leo siku yenu...
Vijana wana talent, sio kucheza mziki wala gitaa vile vile dimba na wanasoka wapo wengi hata dini wameshikilia mistari wa mbele lakini...
Kuna tabia ingine hapa Isiolo, ya kuamka saa tisa juu usiku uko mavitu alfu hiyo saa tisa sio ati unaenda kazi man ni kuomba kaa chwani ya mogoka. What's not happening with our youth?
Vijana wa Isiolo wanafaa kujitegemea kimawazo, kifikra na hata kimaendeleo. Mazee jaba sio sukuma unakula kila siku hata mbuzi huchange diet na kukula maganda ya waru. Tuamkeni tumalize hii uhaaba wa kazi kwa kukuwa active in County offices.
@guru_voke
kijana wa ushago amejenga nyumba ako na shamba na bado ako na nduthi ya biashara na we wa mjini uku Isiolo uko na jacket yako unawekaga kwa mabega ikifika saa nane ukiendea mogoka.
Last night after magrib prayers till isha I had the privilege to be with our Imam Mohamed swalihu at his house with bro Mash,as we are leaving he told us make dua for me,Alhamdulilah tonight he is the guest of Allah,May Allah forgive him and make jannatul firdous his abode.
I today visited #Turkey Embassy Kenya and discussed issues of climate change, measures for drought mitigations and development support for Moyale constituency with officials from Turkish Cooperation and Coordination Agency @tika_english1.
Dem days , mnasemaga Rashford mnakosea, this guy MASH manze alikua simply the 🐐. Leo nikiangalia vijana ambao walikua talented but talanta yao haijawai pay off mi uwa na feel sad sana. Big up to akina Sugar, Mash, Mollu, Ragoh, Ibrit, Gabano, Apuru...etc For the good memories.
It is our commitment to have a Judiciary that is adequately resourced to serve all Kenyans justly and impartially. That way, we will be safeguarding our democracy.