@Sisimizi3 Maridhiano wanatakiwa waweke na wananchi sio viongozi wa chadema au wanasiasa na watekeleze madai ya wananchi mana wanaopambana ni wananchi sio heche na ata kama hao viongozi wakiridhia hayo maridhiano kwa wananchi bado ngoma ilele
@millardayo Hili jambo sio geni kwa waislam ila msio waislam ndio geni mana hamjui ila mngekua waislam mngejua, uislam sio dini ya mwarabu ni dini (njia) ya mwenyezi Mungu.
@SimbaSCTanzania@moodewji Wewe admin acha ufala tuna mambo mengi ya kujinasibu nayo sio huu upumbavu, mnachofanya ni kama mnaonesha tunateseka na kufuzu kwa yanga acheni ungese tupambane na yetu bhana yan simba yangu siku izi inaongozwa na viazi
@Sirjeff_D Hapa mim niliosoma cuba ndio naelewa kwann leo ameamua kushare hii story, hii nayo ni siraha ya yule mwamba aliyeyakanyaga @Sirjeff_D ameamua kuweka uwazi ili mwana aelewe kua yeye bado mchumba aache kuleta ujuaji, hahaha kaka tumekubari yaishe bhana hii vita tulishamaliza.