@OffsideGhost Ukweli mtupu,lkn palipojengwa shule hapa kuwa na makaburi awali,nipo hapa kijijin nafanya kazi hapa lubasazi.nachofahamu kule msituni ndipo hzo sauti zipo mda wote utaskia mlio wa gari,ama tren lkn utasikia sauti za mifugo like kuku,Bata na WA mama wakiwa wanatwanga wanaongea
,