🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Aina ya ndege wa plover nchini Australia ametaga mayai kwenye uwanja wa mpira wa miguu nchini humo.
Mamlaka ya mpira imeufunga uwanja huo kwa mwezi mmoja ili kuzuia yeyote asivuruge hadi vifaranga watakapototolewa.
Kila mtu ameridhishwa na uamuzi huu wa kibinadamu wa kulinda wanyama, japokuwa mpira umesimama, lakini mazingira yameshinda upendo!❤️🐦
Tulinde wanyama✌️
Someone tell me , tangu ameingia Sesko ametengenezewa nafasi ngapi ? Na sio penati box , bali popote pale uwanjani ?
Mbeumo ?Cunha ?nafasi mbili tu moja kutoka kwa Mount nyingine kwa Kipa .
It is not personnel issue , it is structural issue but you guys are not ready for this