ADHD is misunderstood.
Most people think it's just “being easily distracted.”
But it's actually a complex neurological condition with strengths no one talks about.
8 little-known truths about ADHD everyone should know:
@BobKabeyaTZ@IAMartin_@mchengerwa_m Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ndio wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama kwenye maeneo yao na yeye ndio boss wao. Tujifunze kuelewa kabla ya kuwalisha matango pori wengine. No line crossed.
@TanzaniaLeaks Rubbish, ushasema kiziwi na hasikii wala haoni unaandika hapa ili nani aone matango pori yako unayolisha watu. Nadhani chura na kiziwi ni wewe. Learn to listen because there is no way you can learn from hearing yourself talk.
Kwa niaba ya @agricomafrica Leo nimeshiriki katika makabidhiano ya matrekta 500, power tillers 800 na zana zingine za kilimo zenye vyenye thamani ya Tsh billion 44.
1/2
Namba ni nyingi , kwanini namba 5 ?
Tukutane tarehe 05/08/2024 Jumatatu hiii ili kujua kunani.
Endelea kusikiliza 92.1 @CrownMediaTZ na kufuatilia mitandao yetu ya kijamii.
CROWN MPYAAAA , HULETA RAHA TENA KWA MPIGO ZAIDI.
#NyumbaniSioPatupu#TenaKwaMpigoZaidi
#HapaNiNyumbani
Muigizaji @OfficialLizyM amesema kuwa ni takribani miaka mitatu (3) imepita tangu hajafanya interview kwenye radio station.
Baada ya miaka mitatu ya kutokufanya Interview anafanya kwa mara ya kwanza ndani ya #KasriLaKikeke hapa CROWN MEDIA 🔥
#CrownMedia#HapaNiNyumbani
Siku hizi unanunua simu wewe, bando umenunua wewe na bado sio tu hawapigi wala kujibu meseji bali hata simu unazopiga wewe na meseji unazotuma wanaignore. Unaweza jikuta motivational speaker #GenZLoveAffairs#GenerationZ