Ubunifu wa ziada utasuluhisha mbinu zote za mapinduzi kuwa demokrasia. #katibampya. Mapinduzi v/s demokrasia.
Hii mechi inatufuta amani, uzalendo na haki.
Hongera dada @MariaSTsehai
🚮CCM MTAUMBUKA SAFARI HII ‼️
Haya hawa mnaowatumia kuandikisha wanafunzi na kuchomekea majina hewa washaanza kunena!
@ChademaTz piteni huku kama la kufanyia kazi all the best
Mi naweka hapa ili ushahidi ubaki hapa kuwa mmejaribu kuharibu mchakato
Kwa bahati mbaya tumejua mchezo wenu sasa siku ya kura #TutaelewanaTu mbona?
Wapendwa mkajiandikishe na siku ya Nov 27 nendeni kupiga kura na LINDA kura yako!

The sad truth is that; Everyone in your life will have a last day with you. And you don’t even know when will it be. So, don’t take anyone for granted.