Ngazi ya familia ndo ngazi mama katika Mabadiliko yoyote duniani maana ukifanikiwa ndani kwako ni rahisi kusambaza kwa majirani then kwenye jamii yote Mabadiliko yanaanza na wewe na Mimi kikubwa ni kuanzia ndani
Habari, naomba dua zenu na ushirikiano wenu katika mradi wa ujenzi wa msikiti wa eneo la Malamba mawili ambao nimejitoa kuusimamia.
Tunajenga sehem ya kuswalia na ya kusomea watoto kila hatua inakaribisha kheri kwa idhini ya Allah.
Hakuna mchango mdogo kila shilingi ya muhimu
@MarekaMalili Hiyo ya 300K kupata faida ya 2m+ kurudia hiyo process kila siku kupata hiyo faida au kufundisha mtu mwingine akafanikiwa ni ngumu
Hela kubwa inaweza kuvuta hela ndogo na sio hela ndogo kuvuta hela kubwa unless ni ponzi schemes