Bw. Madowo tafadhali jifunze kutofautisha kati ya serkali ya Tanzania na Watanzania.
Watanzania> 99% hawajui nini kinaendelea kuhusu hili tukio, & wangejua wangeegemea upande wa haki.
Wewe ni mtaalamu wa habari & mawasiliano, hivyo itakuwa unajua fika madhara ya generalization.
This is the third person reporting torture, sexual abuse and humiliation while in Tanzanian custody.
A Kenyan, a Ugandan and a Tanzanian have all recounted these horror stories. Majirani hawana utu?
Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, @HecheJohn mishahara ya wabunge JPM aliacha 12.8M lakini ikaongezwa hadi 19M. Yani mbunge wako analipwa milioni 20 kasoro moja. Pia @HecheJohn alieleza kwamba posho zimeongezwa kutoka 360,000/= kwa siku hadi 620,000/= kwa siku. Hapo ni nje ya bima ya afya (daraja la kwanza) inayomuwezesha mbunge na familia yake kutibiwa hadi nje ya nchi. Ni nje ya milioni 90 anazopewa Mbunge kwa ajili ya gari. Ni nje ya 380M atakazopewa kama kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano.
Halafu katikati ya "ukwasi" huo anaibuka bwana Francis Mtinga "anayejiita" Mbunge wa Iramba, anataka watanzania wakatwe shilingi 100 kwenye simu kuchangia bajeti ya afya. Hivi amewaza kuna watanzania hata hiyo shilingi 100 kwao ni tabu? Sio ya kwenye simu, hata kuishika tu mkononi ni tabu.
Hivi anajua kuna akina mama kijijini wanatembea kilomita 10 au zaidi, kwenda porini kuokota kuni waje waziuze shilingi 500 wapate kula na watoto wao? Hivi amewaza kuna watu mwezi mzima simu zao hazijawahi kuwa hata na vocha ya kubeep, na wakitaka kuwasiliana na ndugu zao wanatuma please call me?
Ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Badala ya wabunge kukatwa, wao wanataka wananchi wakatwe. What a greed? Extreme selfishness. Mi nadhani njia sahihi ya kuchangia bajeti ya afya ni kushusha mishahara ya wabunge hadi 6M. Halafu hiyo 13M iende kuchangia afya. Tuna jumla ya wabunge 393 pale Dodoma. Kwahiyo serikali itakusanya Bilioni 5.1 kila mwezi kupitia makato hayo ya mishahara ya wabunge. Na pesa hizo ziende kusaidia afya ya watanzania. Ama namna gani??
Kwa hivyo kusema siamini Gwajiboy ni mpenda HAKI kwa kuwa aliwahi kusema angependa kuona MISKITI yote 🇹🇿iwe Sunday School, nimekuwa MDINI.
Yeye Gwajiboy anaechukia MISKITI si MDINI?
Ahsanteni nyote lakini nitatetea HAKI ya kila mtu KUABUDU anachotaka kuabudu. Ni UUNGWANA!
Mnaniita mie mdini kwa kuthubutu kusema simpendi Gwajiboy kwa kuwa anataka Miskiti iwe Sunday Schools.
Lakini yeye anayetaka kufunga Miskiti si MDINI, ni HERO wenu kwa kuwa kadiriki kukemea UTEKAJI mara 1 tu.
Mie ninayekemea consistently ni MDINI!
Shukran ya PUNDA mateke!
Hakimu is simply saying: “sina cha kufanya, kesi itasikilizwa siku Jamhuri wakitaka.”
Of course, hakuna kesi, hakuna upelelezi.
Ni hofu ya Samia kushindana na Lissu kidemokrasia.
Anaogopa uchaguzi kuliko kifo.
@HildaNewton21 Unakumbuka kama amewahi kuleta malamiko haya bungeni?
Alisema nini Tulia alipokataza utekaji kizungumziwa bungeni?
Vyema kathubutu kupaza sauti , lkn motive yake nini hasa?...km inaweza kuwa katumwa na anaowatuhumu Ili tu "kupoteza lengo" letu gullible uma, frm km kesi ya Lissu?
Dr. Nsahala anasema leo mahakamani kwenye kesi hiinya Hon. Lissu " Pamoja na Serikali kuwa na Maguvu yote haijawahi kuzaa mtu ..." 😂
A HARVARD GRADUATE 🧠
Huyu wakili wa serikali ni ng’ombe kabisa.
Kwamba Lissu kuingia Mahakamani na kusalimia watu kwa maneno ‘No Reforms No Election’ ni kuikosea adabu mahakama?
Mnamshitaki mtu kwa kesi kubwa alafu mnahofia vitu vidogo?
Hawa watu wamesoma wapi?
Hakimu anaagiza watu waliosimama Mahakamani watolewe nje.
Ila hana shida na askari magereza waliojitanda mizura usoni kuficha identity zao.
Kama ukumbi hautoshi, kwanini mahakama isihame Uwanja wa Taifa au ukumbi wa JNICC?
We warned: sio rahisi kumshitaki Lissu. Endeleeni.
Huyo Gwajima anayetetewa leo na aneonekana mpenda HAKI na UTU ni yule aliyesema anatamani kuona siku Miskiti yote 🇹🇿 inabadilishwa na kuwa Sunday School?
Au ni mwengine?
I have a long memory and I don’t fall for opportunistic rhetoric.
Kesi ya uhaini haina ushahidi wowote.
Ujinga wa state attorneys kuilaghai mahakama kuwa upelelezi unaendelea ni kiini macho tu.
Namna pekee ni kumuachia huru Tundu Lissu akabiliane na mama yenu kidemokrasia.
Stop using the judiciary to persecute innocent souls.
Rais aliunda Tume irekebishe mfumo wa haki jinai.
Tume ikashauri watuhumiwa waachiwe upelelezi ukichukua muda mrefu.
Kimsingi hii ni common sense!
Rais anapewa ripoti anaitupa jalalani.
Ndio maana leo prosecutors wanatumia sheria hiyo mbovu kumuweka Lissu jela.
Yatakwisha!