Anaitwa Yakib BUKELE - Raisi wa El Salvador.
Baada ya juzi kufumua jengo lililokua linakaliwa na 400 mawozo gangs - mambo yamekua mengi sana kuhusu operesheni hiyo.
Wengi wakijiuliza imekuaje UN imepeleka jeshi HAITI kwa lengo la kurejesha amani hawajafanikiwa hadi sasa?
โคต๏ธ