Nilikuwa sitaki kupost ila kula kwanzza hii ya moto
Wewe Pia ukatoliki uliorithi kutoka kwa baba yako sio DINI ya Mwenyewe MUNGU. Hii ilikuwa dini ya wapagani waliokuwa wanamuabudu mungu jua, ambayo Mfalme Constantine aliitumia baada ya kushindwa kutawala watu kwa mabavu, akaja kwa njia hiyo.
Ndio maana unaona kila kitu kwenye Catholic yako kinaenda kinyume. Inaweza kubariki mashoga, masista kuvuta na kulima bangi inaruhusiwa na mambo mengine ambayo ukiyaangalia kwa makini unajiuliza, hivi kweli hii ndio dini ya Mungu?
Na bado baada ya yote hayo unaweza kuulaumu Uislamu?
Uislamu ulianza kama upinzani dhidi ya mifumo ya utawala na imani zilizokuwa zimeenea wakati huo. Lakini kusema tu kwamba Uislamu sio dini ya Mungu kwa sababu uliundwa kumpinga kiongozi fulani, wakati huo huo ukifumbia macho historia ya dini yako mwenyewe, hapo ndipo tatizo linapoanzia.
Constantine alihusika sana katika historia ya Ukristo na Dola ya Roma, hasa katika kipindi ambacho Ukristo ulianza kupata nafasi kubwa ndani ya dola. Baada ya watu wa Mungu kuuawa na kuteswa, kulikuwa na wale waliokuwa wanashikilia imani na mafundisho yao licha ya mazingira hayo.
Akina Petro na mitume wengine walihubiri walichokiamini na kutumia mafundisho ya Mungu kueneza injili.
Sasa swali langu kwako ni moja tu:
Wewe unasali Katoliki kwa sababu gani?
Ni kwa sababu umechunguza historia yake na ukaona ndio njia sahihi, au ni kwa sababu tu umeikuta kwa wazazi wako ukaiendeleza?
Kwa sababu ukianza kuhoji dini yako mwenyewe, kabla hujaanza kuiponda dini ya mwingine, ndipo utaelewa kwa nini mjadala wa dini hauwezi kuishia kwenye kusema โUislamu ni dini ya fulani.โ
Kama una uwezo, pima hoja yangu. Nipe majibu yenye historia na ushahidi, sio matusi wala jazba.
Kama una uwezo, pima nikupelekee moto kabla sijalala. ๐ฅ
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpyaโฆโฆ.
Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.