WATOTO WA 2000's, WADOGO ZANGU WA FAIDA
Miaka ya sasa mmekuwa mkisemwa sana kuliko kipindi tunakua sisi dada zenu.
-Mnaitwa malaya,
-Mnaitwa vyura,
-Mnaitwa chaja ya kobe,
-Mnaitwa samaki (mnageuzwa kote kote)
-Mnaitwa kiwanda cha U.T.I sugu na kadhalika๐ฅบ๐ฅบ
โขShida ni vile mnavyoendesha maisha yenu,
โขShida ni vile mnapenda maisha ya kuiga,
โขShida ni vile hamkanyiki,
โขShida ni vile hamtaki kuonekana mko nyuma ya wakati,
โขShida ni vile maisha ya utandawazi yamewavuruga.
Mnataka kila mkionacho na nyie mfanye, mmeweka tamaa mbele kuliko utu wenu.
Picha chafu za ngono zilikuwepo tangu kitambo,
Dada zenu tulikuwa tunachukulia kama jambo la kutungwa tu na halina uhalisia wowote lakini nyinyi mnaangalia na kuyafanya yale myaonayo.
Mwisho wa siku mnaingia kwenye michezo michafu ya KUFIRANA na wakati huo huo mnaiga kila kitu cha kwenye X mwanaume anakuingilia nyuma kisha anatoa uume anakuingiza ukeni.
Mnafurahi na kujiona dunia mmeishika,
Mnajiona nyie ndio mabingwa wa mapenzi bila kujua mnajitengenezea mabomu huko kwenye NYUKE zenu.
Hiyo michezo dada zenu hatukuwahi kuicheza,
Mwanaume akikugusia huo mchezo unamuona mchawi au shetani kabisa mwenye miguu 7.
Kipindi dada zenu tunakua hatukuwahi kusikia habari za -Kuugua
-Fangasi ukeni,
-Harufu mbaya ukeni,
-Kutokwa mimaji ukeni wala hizo U.T.I
Hatukuwahi kusikia matangazo ya madawa ya kuweka ukeni eti ili tubane uke, tulete joto ukeni, tuondoe maji ukeni, tuondoe harufu mbaya ukeni nk.
Tulikuwa natural na mashem wenu mpaka sasa hawana ujanja juu yetu.
Wadogo zangu me nawapenda sana tena sana,
Kwakuwa umri mlio nao hata mimi nimepita huko.
Acheni kuiga vitu visivyo na tija kwenu,acheni tamaa ya vitu msivyo na uwezo navyo ambavyo vinapelekea kugawa miili yenu hovyo ili kuvimiliki hivyo vitu.
Mnajitengenezea nuksi na mikosi tu, kisha baadae muanze kumtafuta mchawi.
Kumbukeni madhara ya jambo lolote huwa hayaonekani leo, huonekana baadae ambapo ushasahau kila kitu.
Nawapenda wadogo zangu, tulieni ili mpate wenu wa baraka mliopangiwa na Mungu.
Good morning Usijenge maisha ya kutafuta kuonekana jenga maisha ya kuwa na maana Mwisho wa siku watu hawatakumbuka ulivyovaa au ulichokuwa nacho bali watakumbuka ulivyowatendea
Sema walio kawa online jana ale X app inaonesha wameenjoy zaidi ya siku zote ๐ ๐ซต๐ค,Maana nimekutana na post za jana za baadhi ya warembo๐,sijuwi kulikuwa na mashindano๐ค
Good morning watu wa Mungu ๐
Kuna somo la maisha tumefichwa, sio kila mtu atakuwa tajiri,atamiliki gari,atamiliki nyumba ama kuwa na pesa nyingi.
Somo hili tungefundishwa darasani ingetufanya tushukuru kwa kila tunachokipata ila pia ingepunguza wivu,husda na stress zisizo na lazima.
Good morning Hustlers๐๐พ
Kila anguko ni kipimo cha imani na uthabiti wako. Unapoona dhoruba imekuwa kubwa, usilie na kuuliza mbona dhoruba ni kubwa, bali jua kwamba kiwango cha imani na uwezo kilichopo ndani yako nacho ni kikubwa.