Semen Retention increases the Testosterone level. Testosterone is a Primary Sex Hormone in male which deals with IQ, Mood, and Motivation. High Blood Testosterone level imparts a positive effect on IQ, Mood, and Motivation.
Mwanzoni kabisa World Cup ilipoanza nilitangaza kwamba mashabiki wenye haki humu ni wa ARGENTINA tu.
Hawa ndio hawapaswi kuwa na second team. Nyie wengine wote ni lazima muwe na backup yenu.
Leo ni zamu ya PORTUGAL tuliwapenda sana ila SPAIN kawapenda zaidi.⚽️
Watu hawaamini sana ukweli wanaamini unachowaonesha ndio hicho watatumia kujudge maisha yako.
Ukipiga picha umependeza wata assume unahela, ukipiga picha umevaa kanda mbili wata assume maisha yako magumu.
Ndio maana kutapeliwa ni rahisi kwasababu tunaamini tunayoyaona sio ukweli.
Neymar Jr ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya taifa baada ya Brazil kutolewa kwenye World Cup na Norway. Hii ni mara ya kwanza Brazil kushindwa kufika hatua ya robo fainali ya World Cup tangu mwaka 1990. Je Brazil itaweza kurudi tena kwenye ubora wake?
When you hold back your semen, you'll land on your feet in almost any situation.
When you hold back your semen, you raise your vibration. When you raise your vibration, you attract better things.
Pornography is a low-vibration activity, so when you masturbate and watch porn, chances are life will work against you. You'll feel unlucky.
Pornography creates bad luck, holding back semen creates good things.
#TajiriLaKihaya
NORWAY Kwa ENGLAND ni Timu ndogo saana!
HALAAND na ODEGAARD ni wafanyakazi wetu pale Man City na Arsenal…
Hawatubabaishi…. Jana tume introduce dawa ya Halaand kipindi cha pili- DAN BURN- pande la mtu 😅
Norway wakila chache ni 4.
It’s Coming Home 🫶🏾
#TajiriLaKihaya
Hiki ndio Timu za Africa tumeshindwa kufanya…
Kumaliza game!
England tuna RED CARD…. Tumewaachia mpira sisi nkukaba tu! Na kuingiza beki za kutosha 🙌🏽🙌🏾🙌🏽