Mostly cases za AKD na CKD kwa Tanzania chanzo chake ni
1.Sukari
2.Presha
3.Obesity & Lifestyle
Mbaya zaidi itโs one of the most expensive health service in the country ๐ฅน
Nilikutana na mchina 1 alikuwa anahitaji Router. Katika kupiga nae story nikamuuliza kwanini nyie kiuchumi mpo juu?. akaniambia "don't overthink it, just copy what already works".
Kwa kifupi jamaa alimaanisha tusipoteze energy kutaka kuvumbua new ideas, just copy&paste.
ilikuwa saa4 crush kapiga nikamfuate jonijo 10ltr xtrail mpaka kwa manyanya akasema ananjaa nikampitisha icon tukala then nimpeleke kwake kigamboni muhuni fresh nimefika kaanza excuse mara i want to drive hao mpaka pweza tumekaa saa6 anasema nimrudishe.sijapata hata hug dah๐ญ๐ญ๐