Huyu mchizi ana shida gani? Amemtapeli nani? Mwana yupo busy anaachia Slip zake wana wanakula wanalost hapigani na mtu aingilii mishe za mtu.
Jana nimeona kile kibabu kinamu Attack kisa kapost balance yake kama kuna Li Punter lichawi na Likuma Humu ndani ni hilo libabu li Sonko