Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
@swahilitimes Kuna Serikali ya Nigeria na hii yetu pamoja na AU basi. lakini ni Ubaguzi wa hali ya juu sana huu, Umoja wa Africa upo kimya tu kukemea hili (sad)
@ridhiwankikwete Nyie endeleeni kumficha. lakini kiharisia watu wa hali ya kawaida (wanyonge) tunaelewa Napendekeza pia atembee huku Mokoani Kuna kero nyingi sana, atusalimie Wananchi