So me nimeshtuka, nahisi itakua kashabeba mimba anahitaji anipe jukumu mimi
Kwa maana ananiforce sana, hata nikisema Ieo aje chap anaweza kuja
Please naombeni ushauri jamani, hii imakaaje wananzengo ๐ค๐"
#NyumaYaPazia
Kutoka inbox
...
"Naomba upost kwa wadau
Kuna dem nimesota sana kumpata, after kumpata anapenda pesa so nikawa kila nikipata nampa
Siku zimeenda, sasa nikiwa na shida ya kumtaka aje home inakua ngumu sana
Ila nashangaa hivi karibuni amekua ananisumbua anataka tusex
Leo ni maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika ( International Day of African Child) na mwaka huu kauli mbiu ni "Education for all Children in Africa: The Time is Now.โ ikisisitiza upatikanaji wa elimu kwa kila mtoto kwakuwa ni haki yao ya msingi
Kutoka kwa @VeenaJay_
"Tumeanza kama masikhara tu me na rafiki yangu kwamba tupimane UKIMWI, maana kapata boyfriend lakini kamwambia kabla hawajashiriki chochote inabidi kwanza wapime
Tulivopima majibu yake yuko positive ila sijamwambia, nilisema kidude kimeharibika, sasa
Kutoka kwa @VeenaJay_
Ujumbe kwa kaka zetu
Hivi unajua kwamba msichana akiumizwa huvumilia lakini upendo unapungua kadri siku zinavyokwenda?
Ishawahi kukutokea uko kwenye mahusiano lakini ghafla msichana anakuacha bila sababu?
Hapana sio kwamba hakukuwa na sababu
ilikuwepo ila ulikuwa mgumu kuiona au ulikuwa mbishi, mwanamke akikwambia kitu hicho sikipendi basi jua amevumilia ila anashindwa kuendelea kuvumilia anataka ubadilike
Ingekuwa vyema ukaona vitu vidogo vidogo vinavyotokea kwenye mahusiano yako usivipuuzie tafutia suluhisho kwani
Tuskuti kidogo๐
Ikitokea maex zako wote wakakutana na kukaa meza moja kukujadili, unaona watakubaliana tabia/kitu gani kimoja kuhusu wewe?
#NyumaYaPazia
Mpaka sasa watu wengi wamependekeza tulete mada hizi.
- Saratani
- P2
- Afya ya akili
- Kisukari
- Magonjwa ya figo
- Vidonda vya tumbo
- Magonjwa ya ngono
- Nguvu za kiume
Bunge la afya jumapili hii ungetamani kusikia mada gani? #BungeLaAfya
Kutoka inbox
...
"Habari naomba kusaidiwa
Nahitaji kuanza biashara ya matunda ile ya fruit-combo
Tupo wawili Ila hatujui tuanze na matunda ya bei gani ili yatupe faida
Na hatufahamu vile vikopo vinapatikana wapi na kwa bei gani