Niko hapa kwa nganya natoka Rongai naona huyu mrembo kando yangu anatext "Babe" na pia 'Evans' naona ameambiwa "I've missed you too, pls tell me when you're back at your place." Nilikuwa niombe number lakini sitaweza dust ya Rongai na pia ya huyu baddie aki. Hahaa