Amesema mtume swalla Allahu alayhi wasallam.
"Ombeni msaada/takeni msaada juu ya kutatua shida (zenu) kwa kuficha, kwa hakika kila mwenye neema ni mwenye kuhusudiwa"
Tirmidhiy.
Swali:
Mwanamke anapoingia katika swala akawa katika rukuu na kusujudu, hasa wakati wa kusujudu na kikao baina ya sijda 2 na kikao cha tahiyatu hewa ikatoka katika tupu yake ya mbele kiasi wakasikia waliomzunguka, je swala ya mwanamke itabatilika kwa hilo? Na wakati mwengine
Swali
Je udhu utaharibika kwa kule tu kutazama wanawake au wanaume walio uchi? Na je udhu utaharibika kwa mtu kutazama utupu wake?
Jawabu
Udhu haubatiliki kwa mwenye udhu kutazama wanawake au wanaume walio uchi wala kujitazama yeye mwenyewe, kwa kutokuwepo dalili ya hilo.