Mwezi mpya. Baraka zisizo na mwisho 🤲🏾
Endelea kuwa na subira. Mara nyingi mambo mazuri zaidi hutokea bila kutarajia. Mwenyezi Mungu akujalie mwezi huu uwe wa mafanikio, furaha na neema tele
Hello
I hold a Bachelor's Degree in pyschology
I am actively seeking position;
✅In teaching Biology and Geography
Also offering psychological counselling services.
In addition i posses strong computer skills.
LANGUAGE; English &swahili
Muhimu sana nyumbani kuwa na ‘Infrared Induction cooker’ ya plate 1,2 au 4 inasaidia sana kama mbadala wa gesi sababu inatumia umeme kidogo.
Gesi ni gharama kuliko umeme, ukiwa nayo hata gesi ikikata unakuwa huna stress (Ifanye kama backup na chakula cha haraka nyumbani)
Jinsi ya kusali zaburi 55. Muda ni saa tisa/kumi usiku isome hiyo zaburi mara tatu. Then fuata na hiyo sala hapo chini huku ukiorodhesha maombi Yako muhimu. Mimi niliorodhesha 7. Then baba yetu . (Hii ni kwa walionifata dm).