πRACHAEL DANGWA AFARIKI DUNIA NDANI YA HOTEL JIJINI JAPAN - SUMU CHANZO CHA KIFO CHAKE.
Kwa masikitiko makubwa, taarifa za awali zinadai kuwa mwanaharakati Rachael Dangwa amefariki dunia katika hoteli ya MUJI HOTEL GINZA, jijini Tokyo, Japan.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, tukio hilo lilitokea ghafla akiwa ndani ya hoteli hiyo. Uchunguzi wa awali unaodaiwa kufanywa umeeleza kuwa kulikuwa na uwepo kwa sumu kwenye kinywaji aina ya whisky alichokuwa anakunywa muda mfupi kabla ya tukio hilo.
Mamlaka husika zimeelezwa kuendelea na uchunguzi wa kina ili kubaini mazingira halisi ya tukio, chanzo cha kifo na iwapo kulikuwa na viashiria vya uhalifu. Taarifa rasmi inatarajiwa kutolewa baada ya uchunguzi kukamilika.
Maria Sarungi-Tsehai Rachel P Dangwa Chadema Tanzania Maulid Kitenge ITV MO 29 TV
Ibilisi alinipanda kichwani sasa mimi ningefanya nini? Afande nilegezee kamba nikupange afande.
Kuna hawa wanaumeβni kama wanatoka kwenye chuo cha "Mind Games and Emotional Disruption".
Let me explain...
Thread:π
πππ π π¨π‘π π₯π’ππ’ π‘ππ’ππ’ π¨π¦πͺππππππ‘π π¨π¦ππππ πππππ¦π!!
Maisha ya Uswahili ni jau sana aisee,
kama una roho ndogo huwezi kutoboa,
Lakini Watu, Wanapapenda sana?
Unajua ni kwanini? Iko hivi...
Inaendelea Shuka Nayo ‡οΈ
Mwanzoni tulikuwa tunaona kuwa Kula chumvi nyingi, kunakuja na Busara nyingi sana
Ila nowdays imekuwa Virse Versa,
Naona hichi ndicho kilichompelekea Madee kuwaomba waandishi wa Habari,
Kutowapa Wakongwe Mic, wazungumze.
Hasa wakongwe wa Muziki.
Video kwa Comments π
Kuna wakati maisha yanaweza kukupa fursa kubwa, na huku nje tukakuona kama umeshafikaβumewasha moto wa mafanikio.
Lakini kuna siku wale wale waliokushangilia wanaweza kukufanya uanze kujiuliza kama unachokifanya kina maana tena.
Thread:‡οΈ
β³IFTAR YA YANGA ILIYOBEBA UTANI NA MAFUNDISHO KWA WALIOHUDHURIA.
.
π§΅UONGOZI wa Yanga hapo jana uliwaalika wadau mbalimbali kwenda kufuturu na kupitia THREAD hii utajua mwanzo mwisho namna shughuli ilivyoanza na kumalizika.
.
SHUKA NA UZI,UTACHEKA SANA KWA MZEE SAID WA SIMBAπ‡οΈ
π§π¨π£ππ§π ππππ π¨ ππππ’ππ’.π
Aina Za Wanawake Na Siri Za Miili Yao.
Fahamu Namna Miili Yao Inavyotofautiana Na Kuathiri Uhusiano Wa Kimapenzi.
Open Short Thread π§΅
Hivi Unazifahamu Movie bora zinazotisha zaidi za muda wote duniani ?
Nb: Fungua kwenye comment kujionea namba 01 ambayo inasemekana mpaka Cameraman alikimbia. π