Tunajivunia kuwa sehemu ya wadhamini wa Clean Cooking Marathon iliyofanyika, tarehe 27 chini ya mgeni rasmi Mhe. Salome Makamba, Naibu Waziri wa Nishati.
Tukio lililoandaliwa na TABWA ili kulenga kuhamasisha matumizi ya nishati safi na kuunga mkono dira ya Taifa ya 2024โ2034