FOREX ni RUTHLESS BUSINESS...
HATAKAMA UWE MCHA MUNGU NAMNA GANI, KAMA KICHWANI HAMNA KITU KUHUSU TECHNICAL BADO UTAOMBA SANA NA MAOMBI HAYATA WORK!
LAKINI PIA, HATA UWE BORA NAMNA GANI KWENYE TECHNICAL, KAMA HAUNA NIDHAMU VYOYE HAVITAFANYA KAZI (MAOMBI + TECHNICAL)
HOJA NI KU POSSESS VYOTE YAANI MAOMBI + NIDHAMU + TECHNICAL..
TUKIOMBA TUSISAHAU KUMUOMBA MUNGU ATUPE UTULIVU WA AKILI NA MIOYO YA KUTOSHEKA NA PROFIT TUNAZOPATA.
SOKO NI KUBWA NA HALINA LIMIT, LAKINI PIA NI GUMU KWASABABU LINAHUSISHA MCHAKATO WA KIHISIA NA MAMBO YA FEDHA!
AM DONE...
100pips collected on ASIAN SESSION
#Xauusd
Make sure you take your small profit from the market, even if it’s just 40 or 50 pips. Leave the rest to the market makers. Avoid greed🤞
IJUMAA MUBARAK
Simple Backtesting.
NB: Kuna reason zaidi ya Mbili (lazima uzijue kwanza) ya hizo trades. Sio kila Doji candlestic unachapa Lot. Sitapokea lawama zozote😁✌.
📌 Trading Checklist:
1️⃣ Key Level
2️⃣ Ask: is there inducement?
3️⃣ If not → expect engineered liquidity before entry.
4️⃣ Enter at sweep, not at noise.
I always Bet Winning❤
Hizi profit ndogo nawawekea mkuwe Inspiyad!😁
Hata ivyo nimepunguza Lot kwasababu ya afya yangu ya akili. Trade ikienda Tofauti kidogo $1000 shwaa! Aaah, nitarudi Mwakani😁✌
I killed Gold as usual!
Ikiwa utakuwa na ujuzi wa Kutosha. Mtaji wa $40 unaweza kukutengenezea $20 kwa siku. Lot ni 0.02 Entry ya Pips 100 sawa na 20$ (50K) ikiwa uta win 3 times ni sawa na $60 (160K). SL isizidi 20 Pips. So uta risk $ 4(10K) upate $20 (54K). Loose 3 trades (30K). Kupanga ni Kuchagua✌.
Naomba msaada jamani, hivi kufanya printing ya Tshirts inawezakana ikagharimu shs ngapi per Tshirt. Na kama kuna watalamu wa hizo kazi humu wanicheki DM chap... lets talk business.
#SoundsOfBeckie#NipeDili
Hapa ni mfano wa txt ambazo sipendi zitoke kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke wake.
1. Umelala?
2. Mbona nakutumia txt haujibu?
3. Inamaana missed calls zangu hauzioni?
4. Ume enjoy? [After sex]
5. Weekend tunaweza kuonana?
Instead try things like.
5. Weekend hii naomba tuonane saa 10 jioni eneo X (zingatia mda ambao ni convinient kwake) kama hana mda atakujibu na mtaelewana kwa urahisi.
4. Usishukuru wala kuuliza inatakiwa ije automatically kutoka kwake (asiposema haimaanishi haujaichapa vizuri)
3&2. Akikucheki keep conversation normal usiulize kausha tu huku ukiangalia PROJECT MPYA. (Zingatia nature ya majukumu yake)
1. So weird ila to be from a man. Aulize yeye.
BONUS.
(a) Usipende kum-criticise mwanamke wako, msifie.
(b) Akizingua usisite kumfokea ukiogopa atakuacha.
Mwisho kabisa, chase goals and money the most, wanawake wapo sana.
Ukitafuta pesa unapata pesa na wanawake, ukisaka wanawake kwa nguvu na hauna pesa ni unakosa wanawake zaidi.
Anaitwa JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI (Hayati), Rais pekee aliyelinda RASILIMALI za nchi kwa vitendo, uchungu & wivu mkubwa! Kama wewe una shida nae hiyo ni juu yako, ila binafsi nampa "salute" huyu mzee kwa hili. Ni kiongozi bora kuwahi kutokea nchini. Samia hawezi ziba pengo lake.
This Sabbath, we were blessed to be at Rutovu SDA church, Burera district, in support of their evangelistic campaign. Thousands of believers gathered for an afternoon of praises to the Lord of our salvation, and multitudes responded to the call to give their lives to Christ. 🙌🏽