@RKishaija Kwani hao wachina huwa hawanyongi watu? au US si juzi tu hapa wametangaza kwamba watampiga risasi hadharani mfungwa wao. But when it comes to Islam ndo unazungumza, double standard at its peak.
Dunia hii wewe tenda tu matendo mazuri kwa watu. Saidia kadri unavyoweza. Kuna namna na mazingira ambayo malipo ya wema wako huanza kukupata wewe mwenyewe unasikia burudani moyoni kwa sababu unayoyaona mzigo kwa wakati fulani Mungu anatatua kupitia watu ulowafanyia wema.
Kama una mpango wa kuoa, usichelewe sana. Usiwaze sana harusi, waza ndoa. Kama una kipato kidogo, fanya hima uoe. Wenzetu hawa huja na riziki nyingi. Utashangaa milango ya kiuchumi itakavyoanza kufunguka.
Chukua hatua.
Never been embarrassed to wear the same fit twice, never been embarrassed to have 1 pair of shoes, never been embarrassed to sleep on the floor,Never been embarrassed to struggle. You gotta go through hard times before you live lavish. I know its on the way so i'm forever humble.