@ShaneShayo@Innocen89950594 😂🤣😁. Sio kweli masta.
Kwanza hatulipwi hela mingi ivi sisi!
Pili kuna code of ethics.
Tatu, tuko jili ya kusaidia miili yenu ifanye kazi kwa ufanisi, kuwalomba madem zenyu sio mambo yetu.
Au namna gani ichaji @DixonMax2
Dunia ya sasa watu wana taarifa mkononi…
Mazungumzo yoyote unayofanya na Watanzania ujue sio wajinga, watafuatilia na wataringanisha taarifa hizo.
Watanzania wa sasa sio wa mwaka 47.
Nasema kwa uhakika hakuna mahali popote duniani mafuta yamefika 8,000 usd wala 6,000 Euro kwa lita.
Hakuna popote mafuta yanauzwa 400usd wala 600 Euro duniani.
USD 100 ni sawa na 260,000 Kwahiyo usd 400 ni sawa na 1,040,000.
Euro 600 ni sawa na 1,820,000
Kama ni 6,000 ni sawa na sh
18,200,000=
Kama ni usd 8,000 ni sawa na milioni 20.8 .
Lita moja ya mafuta Marekani inategemeana na state na state.
Kwa mfano Washington DC area kwa gallon 1 ambayo ina lita 3.8 ni usd 3.80 ambayo kwa pesa za Kitanzania ni 9,600, ukigawa kwa lita 3.8 ni sawa 2,526 kwa lita, ambayo hapa sisi kwa Tarime 4,020, kwa hapa Dar ni 3820.
Na kwa Marekani nzima wastani wa gallon moja ni usd 4.10.
Kwahiyo kwa wastani sana ni sh 2,600 za Kitanzania kwa lita.
Marekani ndio wako vitani na wao ndio wana uchumi mkubwa, lakini mafuta Marekani ni rahisi kwa zaidi kwa sh 1500 kwa kila lita tunayonunua huku..
Ukiwa na 10,000 ya Tanzania Marekani utanunua lita 4, na ukiwa ma hiyo hiyo hela hapa Tanzania utanunua lita 2 na point kidogo.
• Nilikutongoza .
• Nimekuona unastahili kuwa mke wangu.
• Nilikwenda kwa wazazi wako kuwajulisha nia yangu kwa binti yao.
• Nilitumia mamilioni ya mahari yako na bidhaa nilizopewa kununua kama orodha yako ya ndoa.
• Unakuwa jukumu langu kuanzia sasa.
• Sasa, sina budi kukuhudumia na kukulinda maisha yangu yote.
• Kwa hivyo, uko chini yangu, mdogo kwangu.
• Ni lazima uheshimu, utii na unyenyekee kwangu.
• Unazingatia mamlaka na uongozi wangu.
• Ninaongoza, Unafuata!
• Nikizungumza , wewe nyamaza!
• Sisi si partners!
• Sisi hatuko sawa!
• Mimi si mwenzako!
• MIMI NI MFALME WAKO!
"TEC, kupitia Jumuiya zetu ndogondogo, inaweza kutusaidia kukusanya taarifa za idadi ya vifo na marehemu ambao miili yao haijapatikana. Ndani ya mwezi mmoja, zoezi hili linaweza kukamilika endapo TEC italiongoza na kulisimamia."- Fr. Kitima