Rudiger aliniambia anaenda international break leo napatana na yeye training ground ya my rival club Barcelona, ikabidi tumeguza El clasico na huyo bois akalazwa sahii bado ako hosi
Lkn mnakuwanga na courage aki a mungu, mnatusi waheshimiwa willingly? Kuna siku nilijaribu kutusi MCA wa kwetu nilipigwa makofi uko kiogoro karibu waniue kama si wamama walikuwa hapo wakanishikilia na nyonyo ningeenda sayuni