#HABARI: Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulenga, ameeleza kuwa, chanzo cha tatizo la daraja la Somanga kusuasua ni mvua kukutana kwani walianza ujenzi wa daraja hilo mwaka jana lakini kabla halijakamilika, mvua zimenyesha tena mwaka huu hivyo kushughulikia njia ya dharura
#HABARI: Bohari ya Dawa (MSD) imetunukiwa tuzo maalum na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kutambua mchango na ushirikiano wake katika kuboresha huduma na matibabu ya Programu za Moyo nchini.
#ITVDigital#ITVUpdates#ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania
“Tulimaliza uchaguzi wetu wa ndani ya chama uchaguzi mzuri kabisa wa kidemokrasia ambao in fact kwa nchi yetu haujawahi kutokea uchaguzi kama ule transparent, wawazi wenye demokrasia ya hali ya juu sana…,”- Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, DAKIKA45.
#HABARI: Taarifa hiyo imeonesha katika kipindi cha Mwaka 2023/24, kupitia operesheni mbalimbali za uchunguzi, TAKUKURU ilifanikiwa kuokoa kiasi cha Shilingi bilioni 30.19.
#HABARI: Baadhi ya maduka barabara ya nane Dodoma yaungua moto muda huu huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hajajukikana.
Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa ajili ya kupata undani wa habari hii.
#HABARI: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Tulia Ackson, akisalimiana kwa njia ya miguu na baadhi ya viongozi mbalimbali wa Jiji la Mbeya, ikiwa ni ishara ya kutoa elimu kwa jamii kuhusu mapambano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
#HABARI: Zoezi la kuaga miili ya watu sita waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea katika Kijiji cha Chunya wilayani Mbinga baada ya gari aina ya Prado kuwaka moto linafanyika leo katika uwanja wa michezo wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.
#HABARI: Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7 mkoani Dar es Salaam na kusisitiza umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa barabara hiyo ya kimkakati.
#HABARI: Watu 27 wanashikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Kilosa mkoani Morogoro kwa tuhuma za kufanya vurugu na kufunga barabara eneo la Magubike wilayani Kilosa, Barabara Kuu ya Morogoro-Dodoma wakishinikiza Serikali kuweka matuta.
Habari kamili ITVTANZANIA.
"Mradi wetu umekuwa wa mfano Barani Afrika, huu mradi wa DART mabasi yaendayo kasi, umekuwa kivutio ndani na nje ya nchi, tangu kuanzishwa kwa mradi takriban nchi 12, zimekuja kujifunza Tanzania,- Msemaji wa Serikali
https://t.co/h5ia3Qhsz7