Unaweza kuhisi tuko kwenye dunia moja lakini trust me kuna;
Dunia ya X (concerned/elite)
Dunia ya tiktok (kids/trendy)
Dunia ya Insta (unbothered)
Dunia ya facebook (watu wa kale)
Dunia ya snapchat (show off)
Na kuna kwenye ground (real life) kila mtu anaujua uhalisia wake.
Not really. You guys have made dating complicated. Nobody is perfect. It all comes down to experiencing each other and figuring out how you are gonna be each others support structure while still enjoying life.