🧵 SSD vs HDD: Tofauti za Kitaalamu Ambazo Watu Wengi Hawajui
Watu wengi wanajua tu kwamba SSD ni faster kuliko HDD.
Lakini kwa nini?
Na tofauti inaonekana wapi hasa? 👇
Sinaga bei, Nauza hizi flash Original Mpya...👇
Za 64GB kwa 25,000/= Tu,
Za 32GB kwa 17,000/= Tu,
Za 16GB kwa 14,000/= Tu,
Mzigo upo mchache sana ni wa kuwahi...📌
Location : UDSM Chuo Ubungo🔥
Nipigie whatsapp/Normal call kwa 0762305991 au tembelea page yetu @SadickTusia 🤝
Kama unafikiria ndoa siyo kitu kizuri ni vile tu hujapata mwanamke mdogo na mzuri anae kuheshimu so badilisha aina ya wanawake unao date nao.Ndoa ni nzuri japo siyo muhimu.
Mkumbushe mwanao katika maisha haya kila mtu anajipenda na kujijali mwenyewe kuliko mtu mngine kama ambavyo yeye anajijali ,So asitegemee asiweke sana Imani kwa watu maana mwisho wa siku maisha ni yeye dhidi ya yeye mwenyewe hakuna mtu atakuja kumsaidia.
Wanawake wengi wanao omba taraka huwa wa aamini maisha yao yatakuwa mazuri lakini huishia kuwa mabaya zaidi ya mwanzo.
Sema njia rahisi ya kuepuka taraka/usumbufu kwenye ndio ni uamuzi wa kuchagua nani wa kumuoa.
Mtu yeyote anae fikiria kuwa mama wa nyumbani hafanyi kazi yeyote namashaka na fikra zake.
"Mama wa nyumbani ni mvivu "Anasema binti anae tumia masaa 20+ kufanya kazi ya masaa 2 ofisini,Muwe na heshima.
Ukioa kwasababu tu tayari unapesa ya kumtunza mwanamke ,pesa zitaenda(Mahali) mwanamke utabaki nae hapo ndio utaelewa kwanini Suleman kwenye mithali alisema "Nyumba hujengwa kwa hekika".