Ila wali wa sikuhizi ni tasteless kabisa kipind niko mdogo nilikua nasikia wali unanukia unaradha na niliweza kuula bila mboga ila saiv hapana.๐๐พ
Kwanini wababa wa kiafrika wanakuwaga wababe sana kwa watoto wa kiume..?
Mimi nilikatazwaga kujifunga taulo na kutembea kifua wazi home,kunyoa kipara,nikakatazwa na kupiga nondo eti nakula sana..๐
Uswahilini nakumbuka ile tabia ya kupepeta mchele majirani zako vyumba vingine waone na wajue leo unakula wali
Halafu unarudi nao ndani unapika ugali na mlenda unakula zako huku ukisubiri zipite siku tatu utoe tena wajue wewe kula wali kwako sio shida, wakati moyoni unajua ๐