Tunalitaka Jeshi la polisi @tanpol Kumuachia mara https://t.co/O0ADvYl9VB tunaendelea kusisitiza kuwa Amani ya Nchi hii itaharibuwa na nyie msipojiangalia.
Sisi kazi yetu ni kuwapelekesha - tusikubali wao watupelekesha
So far we are doing very well 😁
Leo kuna makorokoro tumetegeshea mengine acha wajichanganye 🔥👊🏽
We keep them busy ili tukamilishe mambo yetu!
#TutaelewanaTu
‼️AMEPOTEA‼️
#Pichani anaitwa Chiku Abdallah amepotea tangu October 10, 2026. yeyote mwenye taarifa za kufanikisha kumpata awasaliane na familia kupitia hii hapo kwenye bango.
tufuatilie hili suala la mwabukusi. maadaui wa nchi wa ndani wanamuwinda. hawataki awe rais wa wanasheria, au yeye ku-practice sheria. hili jambo ni zaidi ya mwabukusi. inahusiana na swali kama wanasheria nchini wako huru kufanya kazi zao: kulinda ukatiba na utawala wa sheria!
Leo Oktoba 14, 2026, Makamu Mwenyekiti bara, Mhe. @HecheJohn, ameendelea na ziara Kanda ya Kaskazini. Leo akiwa Wilaya ya Meru, ametembelea Arumeru Mashariki na Magharibi na kuzindua vizimba vya Chama na kupandisha bendera, isha ya kuimarisha chama kuanzia ngazi ya chini.
Kwa lugha nyingine Bashite anasema kwamba Nduli Idd Amin Mama anachukiwa sana na Wananchi ila haamini kwamba Wananchi wanamchukia Nduli kutoka moyoni anadhan wanahamasishwa.
Nimefurahi kwamba hata wao wanajua kuwa Nduli anachukiwa sana na Wananchi.
Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. @John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha. Baada ya kufika kituoni Jeshi hilo limesema linamhitaji @John_Pambalu tu.
Tunaendelea kufuatilia.
#DearNyerere majitu MANYONYAJI yanasema watu KUPOTEA ni michezo ya tangu zamani ila hawataki kutauambia michezo hiyo inachezwaje?
Na kwanini inachezwa na wakosoaji wa serikali tuu?
‼️HABARI MBAYA‼️
Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kigoma Colletha Ntidyicha amechukuliwa mchana huu maeneo ya Mbagala Kwa Azizi Ally na watu waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa Polisi.
Gari waliyotumia ni aina ya Landcruiser Hard top yenye plate namba nyekundu DFP 1535.
Hii ndo namba ya simu ya mmoja wa watu waliohusika kumkamata 0752053299.
Tumetoka Kituo cha Polisi cha Mjini Arusha, nikiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Mwenezi wa Vijana Taifa na Katibu wa Mkoa wa Arusha. Kwa sasa, John Pambalu anapelekwa Dar es Salaam.
UPDATE: JOHN PAMBALU ASAFIRISHWA KWENDA DAR ES SALAAM
Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi wa CHADEMA, Mhe. @John_Pambalu, ambaye alikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha, sasa anasafirishwa kwenda Dar es Salaam.
Tutaendelea kufuatilia.
UPENDO KILEO YUPO GEREZANI TANGU TAREHE 4.7.2026 KWA KESI YA UONGO YA UGAIDI.
Pichani ni Upendo akiwa na mtoto wake Mdogo aliyekuwa tegemezi kwake leo mtoto anaishi kama yatima hajui mama yake atarudi lini nyumbani, Pendo alikamatwa Tarehe 4.7.2026 na Polisi wa kituo cha Chang'ombe na kupewa Kesi ya uongo ya UGAIDI, sasa imepita miezi mitatu serikali haramu inasema uchunguzi bado haujakamilika, jukumu la kupinga na kukomesha uongo huu ni kuungana wote kwa pamoja kwani hakuna aliyesalama kwasasa.
Mambo haya yanapaswa yaunganishe nchi kila mtu mwenye akili timamu akemee unyanyasaji huu kwa vitendo, usijione upo salama utafikiwa kesho kwenye nchi isiyoheshimu sheria watu wote huwa kifungoni.
Tarehe 29.10.2026 ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wetu waliokwenda barabarani Kupinga vitendo kama hivi.
#MisogopeTunashinda