Sikuwahi Kujua kuwa #Ulaya
Huwa Marekani ndo Inaamua Mambo Yao Kama Afrika Tuu
Ukweli #Putin Hataki Mambo Yake Yaamuliwe #Washington Na Ulaya Sasa Ndo Wanaanza Kusema Wamechoka Mambo Yao Kuamuliwa #Washington
Baada Ya Simu Ya Trump Kwa Putin
@privaldinho@FKihamu yanga Na #Andazi Nachagua Andazi Yaani Nyie Mmesahau Mlivyokua Mnapokea Kila Timu Airport ikicheza Na Simba #MpigweTuu Hata Tano Yaani Uzalendo tukubaliane Tutaanza Msimu Ujao Baada Ya Kuwa Mmejifunza