Yeyote anayevumilia hatavunjwa na maisha.
Yeyote anayeupenda kwa ajili ya Mungu, kujitolea kunakuwa rahisi.
Na yeyote anayegawa furaha na wengine, anahisi maana halisi ya ubinadamu.
Duniani, kila kitu kitakuacha…
au wewe utakiacha.
Isipokuwa Allah — ukimgeukia, Anakutajirisha;
ukimgeuka, Anakuita arudi.
Kila unachomkabidhi Allah… hubaki na hustawi.
Ewe Allah, tuweke chini ya ulinzi Wako — unaowakinga wale Uwapendao.
Kuna watu ambao tulikuwa hatuwajui, hawatujui ila wameamua kuingia kwenye maish yetu kutu support kwa upendo na moyo safi kama ndugu au familia, mungu awalipe kila la kheri. HATUWEZI KUSAHAU NA HATUNA CHA KUWALIPA ILA TAMBUA NYINYI NI FAMILIA KWETU NA SIO WATU BAKI.
1 share of CRDB today is worth 875.Tzs recently it is not surprising to see one share of the stock you bought become 8750.Tzs the decision is yours, inflation is rising every day.