"Wanaume Dhaifu ni Wanaume Katili. Shupavu ni yule mwenye uwezo wa kuyakabili na kuyadhibiti mabavu yake. Dhaifu ni yule mwenye kuelemewa na kutawaliwa na mabavu yake. Mwanaume shupavu hainui mkono bali huinua ulimi kuonya na kuelekeza na moyo wa kusamehe." ~Togolani Mavura.
Ingawa mifuko yetu haina kitu, Lakini Mioyo yetu imejaa matumaini. Tunamwamini MUNGU, ambaye hachelewi kamwe anatoa Riziki kwa wakati wake ulio sahihi 🙏🏾
KUANZISHWA KWA KANISA LA KISABATO SDA CHURCH
.
Yote yalianza Desemba 1, mwaka wa 1844 Ilikuwa asubuhi alipokuwa na umri wa miaka 17 tu.
Licha ya kukatishwa tamaa na kuto muona yesu baada ya kuaminishwa wanawake hao hawa kuangalia nyuma kwa majuto ambayo walipitia kwa utabiri wa kuaminishwa sana na Millerites.
Walichagua kujifunza zaidi Biblia ni wapi walikosea badala ya kuchagua kukata tamaa na kuachana na habari za Kristo
Ellen White Alikuwa akiomba pamoja na wanawake wengine wanne alipopokea maono kutoka kwa Roho Mtakatifu. Maono hayo yalionyesha watu waaminio wakisafiri kuelekea mbinguni, wakitarajia Ujio wa Pili wa Kristo hivyo aliendelea kuamini katika Mungu.
Zoezi la ubadilishwaji wa noti za zamani lililoanza tarehe 06 Januari 2025 linatarajiwa kumalizika tarehe 05 Aprili 2025 ambapo matumizi ya noti hizo yatafikia ukomo wa kuwa fedha halali za Tanzania.