Leo kuna wasamalia wema wametoa sahani elfu 2 za chakula kwa watu wote waliohudhuria Mahakamani.
Kama mnavoona hapa watu wanapewa ubwabwa hadi Polisi wanatamani msosi wetu.
Mungu awabariki sana wote na kuwazidishia mlipotoa.🙏
BALAA LA TUNDU LISSU LEO MAHAKAMANI
Wakili wa serikali: Mshtakiwa alichapisha taarifa ya uongo YouTube kwamba Rais anaiba uchaguzi.
Hakimu: Lissu kweli si kweli
Lissu: Mh. Hakimu Rais ndio mwenye mamlaka ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, Waziri wa tamisemi mwenye mamlaka ya kusimamia serikali za mitaa kwahiyo kusema hivyo si kosa..
Wakili wa serikali: Mshtakiwa alisema majaji wa nchi hii hawatendi haki, wamekuwa na mambo ya kiccm.
Mh. Hakimu: Mshtakiwa kweli si kweli
Lissu: hayo maneno yamesemwa na jaji waliobra na yameandikwa kwenye kitabu hiki Lissu anakionyesha, kwahiyo siyo maneno yangu
Wakili wa serikali: mshtakiwa alikamatwa na kustakiwa kwa makosa mtatu.
Hakimu: Kweli si kweli
Lissu: Mh. Hakimu mimi nilikamatwa mbinga na kusafirishwa usiku wa mnane mpaka dar kisha nikafikishwa mahakamani, maelezo haya hayajatajwa hapa kwahiyo maelezo hayo sio ya kweli
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Benson Kigaila, Salum Mwalimu na makada wengine wakiwasili katika ukumbi Golden Tulip, panakofanyika mkutano mkuu wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) leo Mei 19, 2025.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu kukataa kutoa michango kwa CCM?? Alafu wakishawapora wafanyabiashara pesa kama hivi then wanacheka upinzani kuchangisha wananchi kwenye tone tone.
🔥 Mungu yuko kazini!
Unabii unaenda kutimia na ninyi mnaomwaga damu za watanzania, kufunga watu hovyo mtawajibika
Tumeshaanza kuwajua na mwisho wa haya hamtaweza kusema mlikuwa mnatekeleza amri kutoka juu
Mtalia na kusaga meno
The day of reckoning is coming!
Na #TutaelewanaTu
Enhee!
Niliposema mkasema mi mzushi 🤣🤣
Kuna wengine wamerudi nyuma baada ya kuona wale waliokitokeza wanavyopigwa mawe ila si yametimia?
All the best kwa kila mtu!
🤣
Ila msipende kunibishia mambo mengine
#TutaelewanaTu
Kosa moja ambalo Nchi hii imewahi kufanya ni kuchukua vijana wa Uvccm wasio na vigezo wala uwezo na kuwajaza kwenye mfumo.
Hawawezi kuangalia mambo kwa kina, uwezo mdogo, ujuzi kidogo mabavu sana .
Hebu tafakari, mgeni ameingia nchini kihalali na passport anayo, na amepanga hoteli ya bei kubwa. Usiku wa manane anagongewa mlango na kutakiwa atoke nje si kwa sababu kuna hatari ya moto la hasha. Je kama mgeni huyo ni wewe ungefanya nini ?