@swahilitimes Kwamba huko kote ni kutengeneza mchezo kwamba badala muwe watuhumiwa mtengeneze kwamba nyie ndo mnatuhumu watu.Hii michezo ya town tunaijua vizuri mno .HAMUWEZI KUHALALISHA MAUAJI YA RAIA KWA PROPAGANDA ZA UHARIBIFU WA MALI.KILA MPENDA HAKI DUNIANI HATOKUBALI USANII WENUπ€£
@ikulumawasliano Oman Wana nini cha kutusaidia?.Wana ushawishi kiasi gani kwenye teknolijia,Sayansi ,Kilimo,Viwanda ,madini n.k?.Huyu mama hana mvuto hata kidogo na ameiharibu Sana nchi hata CCM wenyewe wanashangaa sana
@swahilitimes Mtu hajawahi hata kufanya short course ya medicine ila anaongoza wizara ya afya.Kwamba hiki kimeo cha uvccm kinajua hata maana ya dawa ni nini?.Hakika Afrika ni bara la giza
@millardayo HAKI HAIOMBWI BALI INAPIGANIWA.KUTAKUCHA TU KITAELEWEKA HATUWEZI KUSAHAU @SuluhuSamia ULIVYOUA NDUGU ZETU NA HATUTAKUACHIA MUNGU TUTAPIGANIA HAKI YETU
@ExMayorUbungo Nyongeza mkuu ,kama ilivyokua na Senegal na wakashinda kumbe hata wananchi ipo siku watashinda ipo siku CCM hawataamini dhulma waliyoifanya toka nchi ipate uhuru hadi Sasa itawaangusha siku moja
@joeselasini Na Unakuta anaemkejeli Padri kitima ni kajamaa hivi kako kwenye single room yenye marangi rangi na bundle la kenani la buku 10 .Oya dah π
@PapiiKhan98 Namshukuru Sana baba alinizuia kwenda chuo cha polisi Moshi licha ya kwamba tayari nilikua nimefuzu na waliniita.Nisingeweza kuua wananchi wenzangu tena pengine walionisaidia kipindi nasoma.Hii vita ya polisi na raia bado ni mbichi sana
@RickyJaduong86 Genge la kikwete na Samia ni noma,hiyo tume inachunguza nini Sasa na imeundwa na mtuhumiwa namba Moja wa mauaji.Hii ni michezo ya kitoto hawataruhusu jambo lolote la kuwang'ata liwekwe wazi .Hii nchi Kwa Sasa kiutawala ni kama MGONJWA ambae amepoteza fahamu kwa muda mrefu
@Oktoba29 Kuna jamaa hivi nilisoma nae enzi zile hakua hata na upeo kabisa,alikua mlevi ,mvuta bangi na tabia zote za ovyo hadi ikabidi ahamishiwe shule nyingine.Niliambiwa siku hizi ni TISS kachomekwa na Mjomba wake.Vibaka wote utawakuta huko na hii nchi iko hoi kabisa .Poor in vetting