Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika.
Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha dunia.
Andaieni mawazo yenu — muda umefika!
#Ubunifu #Teknolojia #AI #Fintech #Tanzania #AfricaRising
@ally_ndimbo@TOTTechs Hilo ni kweli ila pia kuna haja ya Msukumo zaidi kwenye mobile accessibility. Bank ya kwenda tawi kufungua account n.k. sio tena jambo la sasa haswa kwa account za watu wa chini hadi kati. It's a missed opportunity
@gabyconscious@TOTTechs Challenge kubwa iliyopo Tanzania ni tumekosa standards za kuset ubora katika biashara mtandaoni. Ni simu yako tu, ila biashara ipo hapo tuongee DM
BELIEVE IT.
Sijui ni mimi nafikiri hivi au kuna mwingine pia anafikiri hivi.
Sometime unaona uko na kila sifa ya kufanya jambo fulani, hila uoni ni wapi utafanyi hivyo. hila unaamini ndani ya moyo wako kuwa ni suala la MUDA tu.
Believe it
@TOTTechs Kinachofurisha ni hii model ya kujipa YES na kumpa user process ndefu ya kusitisha hiyo service ambayo ni yenye manufaa kwa kampuni husika zaidi
If I could give you 1 piece of advice to increase productivity, it would be this:
Schedule 1 hour each morning with yourself to work on your top priority. Do this every single workday. No exceptions.
See what happens.
Last week I made the following point at the Bank of Tanzania's conference: Right now you can buy a 5,000 TZS (about $2) bag of mchele (rice) for 5,000 in cash.
If you buy that same bag of mchele via mobile money it can cost up to 5,950 TZS. Doesn't matter how much fancy tech you have there is no cash-lite economy coming out of the above equation.