Najua hii picha mtaipita tuu bila ku like na ku repost maana inafundisha ila ingekua ya pisi mnge bookmark kabisa embu like na repost na comment kama umpata ujumbe
@fintanjr_ Ni sawa muuzaji kazingua kuna kutafuta kwa kumpa atazame sio kumuwekea mtu begani maana mzee wawatu Ukute ana Street za watoto chuo afu unadhani afanyaje hapo mzee wa watu
@Malengo25 Shida simba hawashindwi kumkataa kama katiba yao wanavyo jikataa ila kweli mchezaji mzuri mind set yake inakitu bora sana kwenye no 8 huyu ni mtu pass zake ni fast sana
@C19009Kahungo@Elsukay0 kaseja huyo bado hawez fikia kumbuka ndio kipa bora na hakuna kwa ligi yetu hata mafanikio bado hao kaseja walikua ila kina vitu diarra atawazidi sana na atabakia kuwa bora huo ndio ukweli usio pingika kwa mtu wa football