Akiwa na miaka 10 tu, alishiriki Vita ya Kwanza ya Dunia iliyodumu kuanzia 28 July 1914 hadi 11 November 1918.
Baada ya vita kuisha, Husen alikua baharia katika meli mbalimbali kama Deutsche Ost-Afrika Linie.
Safari yake ya maisha inaanzia tarehe 8 Mei 1925 kijiji cha Kivure, Pwani, Tanganyika. Baadae familia yake ilihamia Zanzibar na Mwinyi alisomea ualimu.
Alianza kazi kama mwalimu na baadae akawa Mkuu wa Chuo cha Ualimu Zanzibar.