@Roma_Mkatoliki Ukweli msanii anayeibua matatizo ktk jmii ht hwapendwi na jamii ytu hii lkn yule anae imba mapenzi duuuh!!!ifike mahal tubdilike kwasababu jamii humuumba msanii ktk jamii
@nikkwapili Msanii anae ongelea mapenzi ndio anaye pendwa sana kuliko yule anaye ibua matatizo ktk jamii, ko shida hata sisi mashabiki ndo tumewaumba wasanii ivo ksbbabu jamii humuumba msanii