Matisi ward MCA'S home...full of ragged cloths....tuna teseka matisi..akuna maendeleo tuna pata..vijana wako unemployed kazi ni ku vutaa bangi all day the jioni wana ibia kina mama waki toka kazi ,pesa wana pata kupitia iyo wizi it all goes to gambling then fight alafu kifo.