@Kingvannytz_ "Ningependelea kusikia zaidi kuhusu majukumu na matarajio ya nafasi hii kabla ya kutoa makadirio ya mshahara. Hata hivyo, niko tayari kujadiliana kulingana na kiwango kinacholingana na nafasi hii na uzoefu wangu."
@Charllote100@GoodluckMalekoJ Haiwezekani aiseeeeeee!!! Hata maandiko ya Bible yameandika
1. Zaburi 35:1-8
> "Ee BWANA, pigania wao wanipiganao, pigana nao wanipiganao vita... Aibu na haya na wapate wanaonitafuta nafsi yangu..."
@Charllote100 Acha kutuuwa basi Si wa The Age Where Peace Matters More Than Applause,.......!!!! Nishavuna mpunga wangu nataka nije das'lam unipeleke nyumbani lounge!!