وَلَنَبْلُوَنَّكُم بِشَيْءٍ مِّنَ ٱلْخَوْفِ وَٱلْجُوعِ وَنَقْصٍۢ مِّنَ ٱلْأَمْوَٰلِ وَٱلْأَنفُسِ وَٱلثَّمَرَٰتِ ۗ وَبَشِّرِ ٱلصَّٰبِرِينَ
"Na bila shaka Tutakujaribuni kwa kitu katika khofu, na njaa, na upungufu wa mali, na nafsi, na matunda. Na wabashirie wanaosubiri".