MAISHA haya ni mafupi sana!!
Ukipata nafasi ya kumwambia mtu unampenda mwambie, akiumwa mpe pole, akikuomba msamaha msamehe, ukimkumbuka mjulie hali. Kamwe usiyape nafasi majivuno tuna muda mchache sana duniani kwa sababu. UHAI ni zawadi lakini KIFO ni lazima
Wazee Wangu Wa BodaBoda, Nawatakia Yaliyo Mema Katika Siku Ya Leo Barabarani, Ila Kumbuka Kuzingatia Sheria na Alama Za Barabarani, Watu Wanakufa #ajalisasabasi
Tutakukumbuka daima milele mzee wetu,umeumaliza mwendo tunaomba kwa mungu upumzike kwa amani. R.i.p Mr president ๐๐ฟ๐๐ฟ umetuachia simanzi na majonzi
Poleni wanafamilia wa mpendwa wetu poleni watanzania wenzangu. Tuendelee kushikamana katika kipindi hiki cha majonzi.
A hustling boyfriend needs a hustling girlfriend, not a patient babe, You definitely canโt be patient on someone elseโs dreams๐๐คฃ๐..... everyone for themselves ๐โโ๏ธbut the Love is still๐ฏ๐ค
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.
MITHALI 28:13
He that covereth his sins shall not prosper: but whoso confesseth and forsaketh them shall have mercy.
PROVERBS 28:13
How do you keep quality instruction in the classrooms?
By keeping quality teachers in the school.
How do you keep quality teachers in the school?
By providing them with quality support and adequate compensation.
Some things arenโt complicated.