My young brother does Pencil and brush sketches, #TOT lets support this young man on his quest of becoming a better artist
Contacts: +255717484563, +255685856623
#TwitterGulio
@mwaigobeko @TuliaAckson Hichi ni kilio cha wengi, mayai yanauzwa sokoni kwa 6500, bila msaada wa vyombo vya ulinzi soon wafugaji wa Mbeya tutatakiwa tuuze mayai kwa 5000
@sam_mm3 Hadhi ya jiji, Manispaa au Mji hupandishwa kutokana na population, Mbeya as a whole ni mkoa ila ndani yake kuna Halmashauri ya Jiji la Mbeya ambayo inabeba maeneo ya Mbeya mjini tu. Mbalizi ambako picha hii imepigwa ni Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Vijijini. Somo la uraia muhimu
Kampuni ya CHICCO wamerudi site na wanaendelea na kazi for more than a week now, kama unaweza kupotosha taarifa ya mkandarasi kipi tukiamini kutoka kwako?
MBEYA TUMETULIA NA TULIA ANATULIZA TUU.
Mkoa umekuwa haueleweki mjini wapi? Unavyoendelea kutafuta lilipo jiji ndio unaitafuta mbeya vijijini hivyo.
Vumbi kila kona. Tunajua mkandarasi wa njia nne kapaki magreda yake na matipa yake anawadai zaidi ya B16.
Mnaleta uswahili kwenye mambo ya kitaalamu. Mbunge wetu ndie SPIKA wa bunge yeye kipaombele chake ni watu walijue jina lake kwa hali na mali.
Mkoa umekuwa MCHAFU UNANUKA, zama za Sugu kulikuwa na Madust Bin maeneo mengi ya jiji, huyu Tulia sijui kaenda kupimisha Skrepa. Leo unafika mbeya unakaribishwa na UCHAFU NA VUMBI JINGI.
Anagawa matisheti kwa vijana kama vile amewakuta wanatembea vifua wazi. Anakomaa kuwakopesha wakina dada na mama zetu mikopo ya KAUSHA DAMU.
Hivi sio vipaombele kwa maendeleo ya jamii ya watu wa Mbeya. Mkoa wa Mbeya umekuwa ukijiuza sana Mitandaoni, watu wengi maarufu wanatokea huko. Ila ukifika Mbeya ni kama umefika "MAVUMBINI".
Tuliambiwa mbeya tuncheleweshwa kupata maendeleo kwasababu tumeweka Mpinzani madarakani. Haya Tulia huyu hapa tena kawa SPIKA , mji vumbi kama limepigwa BOMU, ukifika Mbeya kama umefika KHARTUM kwa vumbi.
Hapo kichwani mwake TULIA anafikiria kukimbiza mbio wasafwa na wanyakyusa, wakimbie kimbie wasijue hata wanakimbilia nini. Anatupelekesha kama wendawazimu. Ili tuu jina lake likue watu wamtaje taje ndio vipaombele vyake.
Anakomaa kuchapia na kupaka paka rangi tunyumba twa wazee ili ionekane yupo na sisi kwenye shida na raha. Sisi tukitaka kwenda makazini tutapita kwenye huto tujumba? Yani anaweka mbele tuvipaombele twa binafsi binafsi ili aonekane mtu kwetu kumbe anajibrand yeye.
Tunawaza zikianza mvua hilo Tope lake. Kiangazi vumbi ni kasheshe, kipindi cha mvua kasheshe. Kiufupi sisi watu wa mbeya tutapumzika KABURINI.
Tulia ametulia tuu na title zake za kufosi huku MBEYA ikiwa INANUKA na KUKERA.
SATIVA17🫡