@frankminja@safarihamidpro@ummymwalimu@wizara_afyatz Mara nyingi shinikizo la damu halina dalili zozote katika hatua za awali lakini uwepo wake unaharibu moyo, mishipa ya damu, figo, macho na uharibifu huu ndo chimbuko la matumizi makubwa ya huduma za afya ambayo yanaepukika. Kinga ni bora kuliko tiba
@frankminja@safarihamidpro@ummymwalimu@wizara_afyatz Kila mtu mzima kuanzia miaka 18 anatakiwa apimwe presha ya damu angalau mara moja. Kuanzia miaka 40 ushauri ni kupima shinikizo ya damu walau mara moja kwa mwaka. Nia ya kupima ni kutambua watu wenye shinikizo la damu na kuwapatia matibabu.
@sheratonhotels your facility @SheratonNOLA is more than a week now and they have not provided me with a copy of my receipt. I am not sure what is the problem. This is not Sheraton hospitality I know….can someone help?
@DisneyParks Today was on the call for 1:45 minutes and then the phone hang up on me! Two weeks ago took a picture after 1hr 24 minutes. This experience is not magical
@DisneyParks I have my reservation with you before COVID started. I chose to keep my funds with you and get 25% more when I travel. My children have grown they do not want Disney Cruise anymore. For the past three months I am trying to get a refund but hitting walls all over.